Jaman ivi nitafanyaje ili niache kupiga master ushauri plz

Jaman ivi nitafanyaje ili niache kupiga master ushauri plz

Kila kitu kinaanzia kwenye akili na uamuzi wako.
Mengine ni historia.
 
Hyo kitu ili uache lazma uishi na demu ama uoe km upo alone ngumu sana man hta km una mademu pia hasa ukiwa mpenzi wa kucheck movie ndo kbsa
 
Soma tu ndungu yangu hiyo masters wenzio hata chuo tu cha madrasa hatujafika.
 
Tafuta demu anaekupenda af pia jaribu kuliona hilo jambo kama ni jambo ambalo linaweza kukupa ukemavu ndugu yangu maana huwa wengi wanaamua kufanya huo ujinga hawawezi kuwa vema hata kwenye ndoa zao tena ila kama una mpango wa kufanction less go on.
 
Back
Top Bottom