Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,913
Nunua Bongo
Kimtizamo tu ni kwamba unapesa ya kuanzia biashara.
Sasa ukiagiza utakuja kufa kwa presha bureee
Bora uitafute unayoiona hapo,ukiwa mzoefu ndio unaweza kuagiza,maana unaonekana ndio unaanza kumiliki gari ya biashara hiyo
Tofauti ya bei ni ndogo sana,ila kwa hapa unakuwa na uhakika na gari yako,wenzio wanaziuza bandarini pale either kwa ushuru wa Agent wa kustukiza hasa akiona unachachawa na huna uzoefu,au unaweza kukuta picha na uhalisia haviendani,maana huko haendi fundi wako ila kibongo bongo unazuka na fundi wako.