kuna ubishi hapa kitahani kwetu et simba dume upiga shoo kwa siku saba mfululizo bila kuwinda wala nini na ukipita karibu yake uwa hana makeke anakuangalia tu ni kweli au
kuna ubishi hapa kitahani
kwetu et simba dume upiga shoo kwa siku saba mfululizo bila kuwinda
wala nini na ukipita karibu yake uwa hana makeke anakuangalia tu ni
kweli au
emu weka picha ya kitahani kwenu
kumpanda mwezie namahanisha jike
ni kweli yani wenyewe ndo wameumbwa hivyo.kuna ubishi hapa kitahani kwetu et simba dume upiga shoo kwa siku saba mfululizo bila kuwinda wala nini na ukipita karibu yake uwa hana makeke anakuangalia tu ni kweli au