Jamami "wake" za watu ni majipu (sio wote)

Aisee mke wa mtu hataniwi,mbaya zaidi wakianza kupekunyuliwa nje wanatoa mpaka siri za ndani huku akikuakikishia usalama wa kutosha

Sasa wewe jichanganye umsikilize ndio basi tena..unauwezo ata wakumwambia akalivuroge kwa mmewe wagawane Mali mkaishi wote na akafanya ivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikaa uka tafakari wengi ambao hawaja oa au kuolewa hapo miaka kadhaa itakuwa ngumu sana kz kila siku kumekuwa na story za ndoa zinavyo kosesha watu furaha watu wamekuwa kama machiz. Mtu ana juwa kbsa ni mke wa mtu ana mtongoza na mke wa mtu anajuwa kbsa t ameolewa na yeye ana kubali sijui kizazi hiki kina kwenda wpy. Ndoa ina baki kuwa fashion t haina heshima tena kwa kizazi hki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja huyo nilimrespect saana coz hakuwa kuzungumzia weekness za mume wake hata siku moja, Tena alikuwa anamsifia, ila mumewe kila weekend anarudi home saa tisa usiku. Maskini yule dada alitaka tugegedane and she was very serious muda wote toka asubuhi anachat na mm, Niliishia kwenye sex chat tu
 
Mbona kuna wanaoishi pamoja na hawatulii, hii kuchepuka ni tabia mbaya ya wote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kuna wanaoishi pamoja na hawatulii, hii kuchepuka ni tabia mbaya ya wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nishuhudia jinzi mademu walioolewa na waume zao wapo mbali wanavyoliwa hapa mjini bibie!

Wengine wanadiriki kutafuta mimba kwa majamaa angali waume zao wapo..mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana yaan akichepuka akakutana na mnyooshaji mzuri basi anaweza fanya lolote asimpoteze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote kama usemavyo. Ni hulka ya mtu na mtu. Walio wengi wanajiheshimu sana.
 
Sio wote kama usemavyo. Ni hulka ya mtu na mtu. Walio wengi wanajiheshimu sana.
Hatuwezi tukawa na takwimu halisi wapi wengi au wachache, ila kuna wakati hata yule unayemdhania eti kuwa anajiheshimu ndio mpuuzi haswa
 
Uzuri wanaume wao hawajui .... Ndio maisha ya mapenzi yalivyo.... Unakula wa mwenzio na we wako analiwa..... Toka enzi za mababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…