Jamami "wake" za watu ni majipu (sio wote)


Huu ni ukwli mtu japo unamaumivu zaid ya kung'olewa kucha

Kuna mdada alijileta mzima mzima nikamwambia Nina mke kasema kwake sio tatizo,,nilivyozidi kumkazia kumbe ndio nazidi kumfanya azidi kudata juu yangu!

Kuna siku tukaonana mahali katika kumhoji kumbe na yy ni mke wa mtu na wana mpaka mtoto,mdada ukimchek ni mbichi kabisa yani ata miaka 24 sijui kama kafikisha

Namuliza kwa nn ufanye jambo LA hatari namna hyo pia kwa nn uniingize kwenye hatari ya kua na mke wa mtu?

Aisee alichonijibu nilijikuta nachoka ghafla ukizingatia bint mwenyewe namjua ad mama yake nilimuomba ajaribu kukaa mbali na mm japo alinielewa kishingo upande na mda si mda aliondoka kwenda masomoni


Nilichojifunza ni kwamba ukigundua mkeo kachepuka piga chini haraka sana maana hyo ni nyoka na mda wowote anaweza kukufwekelea mbali kama hautamuwahi.

Nitamsamehe mwanamke makosa yote ila la kuchepuka atanisamehe ata kama na mm kanivuma bado sintamsamehe asilan!!!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo maana siku zote nasisitiza TUWALE VIZURI hawa wake zetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikujibu nn embu funguka
 
Mwanzoni sikujua madhara ya kuwa in touch na mke wa mtu, nikawa najua ni urafiki tu, tena wakati mwingine namtania leo itakuwa shemeji kakukaza vzr mnoo, kumbe nachochea kuni, siku ya siku mwanamke anafunguka nikamle. Nikawasimulia washkaji wakaniambia mbona hilo la kawaida tu!

Ila nilishajiapiza sitakaa nitembee na mke wa mtu
 
Wakigegedwa wewe inakuhusu nini mind ur business kwani wanajigegeda wenyewe au na wanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Kuna wale wanaume wanaoishi mbali na wake zao sijui wana miyoyo ya aina gani au ndio walioa tu wapate cheti wapite iv?

Unaoa alafu unamuacha mke tena kabichi kabisa unaenda zako kuishi mbali kanajeuzwa shamba la bibi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unawasema hao wakati mwanamke anaishi na mume afu anajitongozesha kwa mwanaume aliye mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…