waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,759
Tuliolewa toka kitambo sema kuna zezeta flani hata kakukumbuka kudai pesa ya mahari.Kwa hiyo unaolewa lini kaka Yangu?
Wakigegedwa wewe inakuhusu nini mind ur business kwani wanajigegeda wenyewe au na wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm tuyajenge, tukae kama kamati
Njoo pm tuyajenge, tukae kama kamati
Hauogopi asee!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kwa huu ukali...
Mama salamaa?
Mkuu mbona unamwaga povu saana!?
Ahahahaha,
Stress za maisha tuNaona komenti zake, ni mkali hatari huyu dada... Alaankwe alie haribu siku ymdada mzuri huyu
Hahaaaa unaumwa wewe na upungufu wa akili nimekuja kwako kukulia shida, kenge wahed weweStress za maisha tu
Haya kuhusu na weweNaona komenti zake, ni mkali hatari huyu dada... Alaaniwe alie haribu siku ya mdada mzuri huyu
Stress za maisha tu
Harufu yake inanipa chafya mamaa... Vipi kuna usalama lkn?
Hata wanaume za watu pia, wanagonga sana vitoto vya o'level...!Jamani mpaka inaogopesha, wanawake walio kwenye ndoa (sio wote) sijui wanakumbwa na tatzo gani! Yaani ni warahisi mno kuwagegeda! Yaani ukishaonyesha kumjali, mpigie simu na kumtumia msg kumjulia hali, sijui umeshindaje, how was your day!? Umekula!? Nimekuona leo umependeza. Ukiyafanya haya ni rahisi saana kula mzigo.
Huko maofisini sasa ndio balaa tupu mwanamke anarudi na hasira kumbe amezinguliwa na mchepuko.
Sasa vijana wa dot com wanavyopenda kitonga sasa.
Wanaume mnaofanya hivi ni at your own risk.
Dada sie watanzania kawaida yetu salamu.. Nijibu basi salamu hata kama hayanihusu... Mi sijazooezwa hivyo atii...
Aau vipi mamaa