Jamal Abas (Dodi) - Soka Kijiweni

Jamal Abas (Dodi) - Soka Kijiweni

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,757
Kwa wapenzi wa soka, kabumbu, kandanda huyu mtu watakuwa wanamfahamu, kutoka Azam Media anakipindi kinaitwa "Soka Kijiweni" kinachoruka Azam TV, kiufupi nakikubali sana hiki kipindi na kinatoa fursa ya kumfahamu mchezaji wa Timu za ndani pamoja na maskani yake,

Huyu jamaa kwa jinsi anavofahamu mambo, anavoelezea/kuchambua anakitu cha ziada,

Je, wewe Ungependa aendelee kutangaza au awe Co-host/Mchambuzi kwenye kipindi cha michezo pale Uhai FM

kwa wapenzi wa soka,kabumbu, kandanda huyu mtu watakuwa wanamfahamu, kutoka Azam Media anakipindi kinaitwa"Soka Kijiweni" kinachoruka Azam TV, kiufupi nakikubali sana hiki kipindi na kinatoa fursa ya kumfahamu mchezaji wa Timu za ndani pamoja na maskani yake,

Huyu jamaa kwa jinsi anavofahamu mambo, anavoelezea/kuchambua anakitu cha ziada,

je wewe Ungependa aendelee kutangaza au awe Co-host/Mchambuzi kwenye kipindi cha michezo pale Uhai fm..

uyu mbaba ni namkubali ile mbaya naon bora aendelee na soka kijiweni kawa mtamu kinoma then amekuja na new innovation yaan anamtimbia player kitaa clip inachukuliwa Kitaa na udambwi wote unaupata i like the Ting
 
Hata msimu huu wa Corana bado anazunguka mtaani kutokana na mazingira niliyopo sijaangaliaTv zaidi ya miezi mitano

Binafsi napenda aendelee kuwatembelea wanaMichezo vijiweni,mambo mengi tunajifunza kupitia show zake
 
hiyi dingi ana uswahili flan hivi wa ambao unanogesha kipindi chake,hanaga zilwe swaga za uzungu na ujuaji km wakina Dauda
 
Nimependa ubunifu wa hiki kipindi maana tv stations nyingi wanaigana igana idea lakn hii ya Soka Kijiweni iko tofauti kidogo lakini kubwa zaidi ni namna Dodi anavyopiga nao stori,, full of entertainment
 
kwa wapenzi wa soka,kabumbu, kandanda huyu mtu watakuwa wanamfahamu, kutoka Azam Media anakipindi kinaitwa"Soka Kijiweni" kinachoruka Azam TV, kiufupi nakikubali sana hiki kipindi na kinatoa fursa ya kumfahamu mchezaji wa Timu za ndani pamoja na maskani yake,

Huyu jamaa kwa jinsi anavofahamu mambo, anavoelezea/kuchambua anakitu cha ziada,

je wewe Ungependa aendelee kutangaza au awe Co-host/Mchambuzi kwenye kipindi cha michezo pale Uhai fm..

Jamaa namkubali Sana
 
dodi unazingua bwana, kumbe hii ndo id yako?
 
Nikikosa kipindi cha huyu mwamba najiona kupungukiwa kitu
 
uyu mbaba ni namkubali ile mbaya naon bora aendelee na soka kijiweni kawa mtamu kinoma then amekuja na new innovation yaan anamtimbia player kitaa clip inachukuliwa Kitaa na udambwi wote unaupata i like the Ting
kipindi kikali sana sana yaani na uswahili flani
 
Hata msimu huu wa Corana bado anazunguka mtaani kutokana na mazingira niliyopo sijaangaliaTv zaidi ya miezi mitano

Binafsi napenda aendelee kuwatembelea wanaMichezo vijiweni,mambo mengi tunajifunza kupitia show zake
kabisa yaani, vipaji vingi na majina mengi ya wachezaji wa tanzania viko kijiweni
 
Nimependa ubunifu wa hiki kipindi maana tv stations nyingi wanaigana igana idea lakn hii ya Soka Kijiweni iko tofauti kidogo lakini kubwa zaidi ni namna Dodi anavyopiga nao stori,, full of entertainment
bonge moja la burudani, mwanzo nilikuwa simuelewi ila nimemfatilia kwa muda mrfu huyu jamaa ni fundi
 
Back
Top Bottom