Inaelekea anatii masharti ya kazi kwa kuvaa hilo likofia lakini kiusalama ni sawa na hamna kitu.
Wanaofuga rasta wana moyo sana mimi nioge kichwa kisipate maji kwa kweli inakuwa sijakamilika.
Nwele lazima zinuke, majasho yakitoka kichwani yanakaukia nyweleni.
Naheshimu imani yao, lakini!