balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,154
Mara Old traford,Emirates,Bush house london nk.Bado Merseyside,darajani na ,White heart lane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda anataka tujuwe kuwa na yeye alipanda ndege na kwenda ulaya, sawa tumejuwaMara Old traford,Emirates,Bush house london nk.Bado Merseyside,darajani na ,White heart lane.View attachment 558942
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo yuko WembleyLabda anataka tujuwe kuwa na yeye alipanda ndege na kwenda ulaya, sawa tumejuwa
Acha ushamba wewe hivyo ni vitu vya kawaida sana wewe mfipaLabda anataka tujuwe kuwa na yeye alipanda ndege na kwenda ulaya, sawa tumejuwa
Kweli kabisa. Na Hasa kama Ilikuwa ndoto yakeHongera zake kwa kufika huko.
-Ndumilakuwili-
Kwani ana mambo mengine huyakubali?Namkubali tu mimi kitenge na kazi zake
Hapana slim nimeongelea kazi yake ya kutangaza mpira na kuuchambua ila mambo yake ya kuoa oa ndio siyakubali