jamaa yangu wa karibu aliyesoma udsm

Udsm ni moto jameni,oh..GPA ya 3.0 ya udsm ni sawa na 3.8 GPA ya vyuo vngne..anaebisha achek admssn requirments za LL.M apo mliman..
 
huyu king tangu UDSM wamnyime post,,imekuwa taabu tupu humu ndani,,jamaa kapelekwa SAUT,,,buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Udsm ni moto jameni,oh..GPA ya 3.0 ya udsm ni sawa na 3.8 GPA ya vyuo vngne..anaebisha achek admssn requirments za LL.M apo mliman..

leta ushahidi na gpa ndogo maisha ya sasa itakupeleka wapi
 
still LOADING......
 
jamani kwa kozi za B.com juhudi yako tu inakutoa. mi mwenyewe nimesoma udsm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…