jamaa yangu wa karibu aliyesoma udsm

kingxvi:
Waalimu wanaofundisha hapo UDSM ndio wanaotunga mitihani yote na ndio wanosahisha mitihani hiyo. Wanapotunga mitihani, huwa ni kutoka walipofundisha wanachuo wao.

Kupata GPA mbovu ni kutokana na kujibu usichoulizwa kutokana na ukilaza wako sio wa chuo, yaani kwenda kinyume na mafundisho yaliyopelekea mswali. Kwa hiyo, kama usemayo ni kweli, huyo nduguyo ni kilaza au kama zilikuwepo za kupata DIV I poit 3 basi alijichanganya na mambo ya bongo. Vinginevyo hizo point 3 aliiba mtihani.

Ndugu yetu usomaye majuu, usikilaumu chuo kwa GPA mbovu, kama mafundisho yapo chini ya kiwango na mitihani hutolewa hapo hapo chini na mwanachuo angefaulu na kupata GPA ya juu ila asingefaa katika ujenzi wa taifa, maana kichwa kingekuwa kimejazwa pumba. GPA mbovu IS EQUAL TO huna akili

Udsm ni moto jameni,oh..GPA ya 3.0 ya udsm ni sawa na 3.8 GPA ya vyuo vngne..anaebisha achek admssn requirments za LL.M apo mliman..
 
huyu king tangu UDSM wamnyime post,,imekuwa taabu tupu humu ndani,,jamaa kapelekwa SAUT,,,buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Udsm ni moto jameni,oh..GPA ya 3.0 ya udsm ni sawa na 3.8 GPA ya vyuo vngne..anaebisha achek admssn requirments za LL.M apo mliman..

leta ushahidi na gpa ndogo maisha ya sasa itakupeleka wapi
 
huyu jamaa tulijuana kipindi tupo A-level pale tabora boys kwa sababu wote tulikuwa vichwa sana darasani,matokeo ya form six wote tulipata division one ya point 3 na tulipata scholarship za kuja Germany ila jamaa akasema yeye anakomaa udsm.matokeo yake leo nimekutana naye analalama anadai bora hata asingesoma kwani amemaliza na g.p.a mbovu sana hata masters hawezi kusoma sababu ya chuki binafsi za ma professor wa pale.ananionea wivu mimi nipo nasoma zangu masterz now sweden
still LOADING......
 
Back
Top Bottom