Jamaa yangu michepuko yake yote wajane

noo umalaya ni first fursa baadae, na kwa watoto wa kiume ndio kabisaaaa ndio maana wanaolewa siku hizi.

Hahaaaa duuuh, kazi ipi kizazi hiki
 
Hahaaaa duuuh, kazi ipi kizazi hiki
ndio hivyo my kaka, sasa unadhani akikosa wanawake wa kumhonga atafanyaje na hayo ndio maisha yake? basi anahamia upande wa pili.
 
Ila kweli wanaume siku hizi wanapenda kuolewa watunzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…