Mmh aiseeee.......we nomaKulipata vuzi ni kama kusukuma mlevi,we mwambie baby mimi napenda KICHAKA huko kweny NANILIU yaani napenda kuyalamba lamba MAZIVU kama vile nakula FENESI baasi umeloga yaani MSITU utaachiwa hapo hadi NYAU haonekani mpaka tochi ya mawe sita,hapoo sasa kama Unalamba FENESI huku unafanya PALIZI.
No, nilidhani na wewe ushawahi one au sikia specialist wa hivo, yaani mmendea wajane tueh! sasa kwani mimi mjane? mimi kina marioo nimeshawakemea kwa jina la Yesu. Hakuna jipya chini ya jua; wanadamu majike kwa madume wanaangalia penye fursa. Sasa kama mtu hana maadili, hana akili ya kufanya kazi ya halali, kwake msingi ni sehemu za siri utamfanyaje? Ole unakuwa kwa hawa wajane tu maana wajasiriawajane/agane wapo siku zote kuchangamkia fursa. Kufa kufaana.
Umeitwa??Acha umbea
Mbona kimyaaa?,na nimetangaza nia?,ujue mahusiano yanayoanza kama mzaha ndio yenye uhondo na kudumu,jipange basii mchuchu bebiiii.Huo wanga sasa. Teh ulitaka uyaone wapi tena? Wapo wanaosuka ujue
waambie hao wanadhan fursa ni zile za airtel tumjini mipango....fursa zipo nyingi sana.....
Hahaaaaaaa nami nimechoka duuuh fursa hizi hatariiiYupo swahiba wangu yeye ali specialise kwa wenye mimba alikuwa akipata muda lile gate la muhimbili linamjua na alikuwa anawapata kweli siku moja nikamuuliza unatumia njia gani jibu alilonipa eti waume zao wanakuwa wanawahurumia waqt wenyewe wana kuwa na hamu nilichoka kabisa kwa jibu hilo.
Sijakuelewa vizuri bibie, unaweza kufafanua zaidi
Jamani kinyongo sina tena ila ROHO inauma sometimes sio kila leo...
Ngoja na mimi niitafute..Kumbe life simple hiviMmh hizi fursa nyingine
Simple kama maisha yako hayana thamani tehNgoja na mimi niitafute..Kumbe life simple hivi