Jamaa yangu Dhaifu tumegombana sababu ya demu anadai hata akifa nisimzike

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Jamaa wa kitambo sana toka miaka ya 1990s tulimaliza wote chuo then tukaendelea kuwa marafiki mpaka utu uzima huu.shida ilianza siku moja tunapasua chupa mitaa flani akamwita mchepuko wake uje.

Actually mimi nlikuwa namwita shem maana ni demu wa jamaa anaishi kinondoni.siku hiyo demu akasema anakuja na mwenzie.wakaja tukawa tunapasua chupa na kula mwili uliochomwa wa mbuzi.

Yule demu rafiki yake shem wangu nlimwona kitambo tu ni mtoto mzuri kinyama hata akisema awe anapika na kuuza biriani Mikumi watu wanaweza toka dar kwenda kula biriani yake huko Mikumi.

Baada ya kupasua sana chupa na kufanya akili iseaze kidogo nikamchukua huyu rafiki yake shem wangu.nikaenda kuangusha naye then kesho take saa nne tukaachana.

Kumbe alienda kumsimulia rafiki mambo yote tuliyotendeana.rafiki yake akaanza kunisumbua " shem ulimfanya nini latifa mbona anakusifia kila wakati" nikawa namwambia tu hamna kitu shem basi tu pombe.

Ameendelea anasisitiza nimwambie nlimfanya vitu gani mpaka latifa kachanganyikiwa kila wakati anataka tu aje tugegedane.actually sikufanya lolote jipya basi tu.

Basi imekuwa kero mpaka ananambia basi shem tuonane uniambie nami nikamwambie rafiki yako awe ananifanya hivyo.mimi naona aibu kuongea naye mambo hayo.siwez msimulia demu wa jamaa navyosex.

Amelazimisha mpaka anataka basi tupange sehemu tukutane mimi na yeye tu.nmegoma kabisa sababu najua ni jambo la kipuuzi.

Jamaa yake akashtukia yule demu wake kila saa ananizungumzia mimi na kumtaka yeye awe kama mimi.tatizo la jamaa yangu anapiga sana maji.halafu kwenye mikasi anakuwa mvivu mpaka atumie Congo Powder.sasa ile haina ujuzi zaidi tu ya kusugua bila hisia.

Leo kanifuata ananambia mi namla demu wake.nimemkatalia kabisa na kuapa kwa jina la mtume.sijafanya huo wendawazimu.sasa kwa hasira nikamwambia "yaani hata wanawake wote duniani waishe abaki demu wako siwezi mgegeda bora tu nicheze pool kuliko kumgegeda yeye"

Jamaa kanichenjia kuwa maana yake demu wake siyo mkali, hana mvuto ni bora ngemwambia nmemla kuliko kauli hiyo.jamaa amemind sana kuwa nmemdhalilisha yeye na demu wake.amesema maneno mengi.ila la kusema akifa nisimzike limeniuma sana.

Nami sitaki mwonesha meseji za demu wake maana ntakuwa pia namgombanisha na demu wake.na demu wake amesikitika sana kuona tumegombana coz ananipenda shemeji yake mpole.

Sasa nifanyeje jamaa yangu tuendelee urafiki maana tumetoka mbali sana.na hawa mademu ni wa kubuzi buzi nao tu maana si wa kudumu.basi tu ni vile hatujatulia.
 
We mle tu mana kama mbwai iwe mbwai mana jamaa yako kakutukana isitoshe demu ujamkaza ni heri ugonge mzigo kuliko kupata fedhea alafu demu ujamgonga
 
usikubali kuuharibu urafiki wenu..........ila chai yako haina kitafunwa.....great thinker kweli!!!
 
Back
Top Bottom