Jamaa yangu anataka kusoma QT

Jamaa yangu anataka kusoma QT

Wakilimsomitz

Senior Member
Joined
Jul 1, 2023
Posts
134
Reaction score
208
Habari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
 
Mwambie atapoteza pesa muda nguvu zake atafute kazi ya kufanya
 
Habari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
Mkuu Sema ni wewe ndo unataka kusoma QT. Usione aibu hakuna anayekujua humu.

Sauh'waah?!
 
Habari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
Mwambie asome tu!! mara nyingi qt ni jioni.hivyo atakuwa na muda wa kufanya biashara yake.
 
Yupo sahihi. QT wanasoma wanaojitambua, elimu ni muhimu. Kuna ndugu yangu ni mfanyabiashara alirudi QT, baadaye akafanya 5-6 kwa mwaka mmoja, then akapata diploma ya public relations.

Sasa hivi anafanya biashara zake China, India, Dubai na Singapore. Elimu ina umuhimu wake sema asiache 'side hustle'.
 
Yupo sahihi. QT wanasoma wanaojitambua, elimu ni muhimu. Kuna ndugu yangu ni mfanyabuashara alirudi QT, baadaye akafanya 5-6 kwa mwaka mmoja, then akapata diploma ya public relations.

Sasa hivi anafanya biashara zake China, India, Dubai na Singapore. Elimu ina umuhimu wake sema asiache 'side hustle'.
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu
 
Yupo sahihi. QT wanasoma wanaojitambua, elimu ni muhimu. Kuna ndugu yangu ni mfanyabiashara alirudi QT, baadaye akafanya 5-6 kwa mwaka mmoja, then akapata diploma ya public relations.

Sasa hivi anafanya biashara zake China, India, Dubai na Singapore. Elimu ina umuhimu wake sema asiache 'side hustle'.
Yap,asome elimu Ina nafasi yake,asijegeuka kama kina vilaza msukumu,wanaochukia na kutukana wasomi,kisa alikimbia umande.
 
Habari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
Hapa karibu na Ukonga Magereza ipo ukitoka mjini ipo right
Ukonga Skill Academy.
 
Kama unasoma ili uendeleze shughuli zako au uongeze uelewa wa ulimwengu nenda haraka ila kama unasoma ili upate ajira baadae hapo hujajua unachokitaka.

Elimu ni muhimu sana sema wabongo hawataki kuamini, endapo una shughuli ya kufanya unaamini hiyo ada haitakupiga chenga nenda. Uzuri muda ni mfupi wa kusoma ni kitendo cha kuwa serious na masomo basi.

Na usisome vitu vigumu kama Physics sijui Mathematics actually elimu ya bongo kwa sayansi ni kupotezeana sana muda na kujaribujaribu vitu vingi bila concentration ya vitu vichache muhimu, mwishowe unatoka ukiwa master of none. Labda kama wewe ni technician ila kama ni mjasiriamali soma masomo ya sanaa na biashara.

Nimesoma upuuzi mwingi kwenye sayansi na sijawahi kuutumia na sitokaa niutumie. Tofauti na watu wanavyodhani, nchi haina wajasiriamali hii labda ina watu wengi wanaodhani ni wajasiriamali. Ila sasa tumefundishwa hadi Extraction of Aluminium wakati hakuna ore yake Tanzania sasa sijui walijua tutahamia Urusi, Reproduction in flowering plants na matakataka kibao. Najutia muda wangu niliotumia kujifunza sehemu za uzazi za ua la tulip. Pumbaf mliotunga syllabus
 
Back
Top Bottom