Jamaa wa Makumbusho kanikwangulia gari yangu

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,395
Jana tulikua kwenye foleni Mwenge tupo na wife tumetoka Kinondoni tunaenda nyumbani Goba.

Tumefika pale Mwenge jamaa katoka huko alipo na mbwembwe zake anaona kuna foleni na taa hazijaruhusu kwa sifa kanikwangulia gari yangu.

Nashuka namuuliza kwa ustaarabu jamaa linanitolea kitambulisho cha eti ni usalama akaanza kunikoromea traffic yupo tu anaangalia na akaside upande wa jamaa

Kubabeki nikafungua buti ya gari nikatoa kipande cha nondo nikavunjavunja side mirrors zote pozi likawaishia yeye na traffic wake gari zikaruhusiwa nikasepa zangu.

Hawa watu sio wa kucheka nao hata kidogo kuna siku tena hivyo hivyo daladala kaja kaingia service road nimepaki mbali kabisa kaja kushushia abiria na kagonga gari kwa nyuma namuuliza ananijibu kwa kiburi kuwa nimepaki sehemu sio wakati yeye kashushia sehemu siyo akaondoka, sikuongea nikakodi boda hapo hapo nikaifata daladala kwa nyuma nikaipiga mawe na kuvunja kioo cha nyuma afu tukatokomea zetu gizani.
 
Mkuu wangu ya kweli haya ndugu yangu?
 
Hebu weka picha tuone!
 
Mkamate pimbi huyo
 
Hongera sana mkuu kwa kumiliki gari.
 
Back
Top Bottom