halaand

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Chama cha waamuzi wa England chakili kufanya kosa kuruhusu goli la Erling Haaland

    Chama cha Waamuzi cha England kimekiri kufanya kosa katika kuruhusu goli la ushindi la Manchester City dhidi ya Manchester United, ambapo Man City ilishinda 1-0 katika uwanja wa Old Trafford. Katika taarifa iliyotolewa masaa machache baada ya ushindi huo wa Man City ilifichua kuwa imewasiliana...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Jamaa si akajaa kwenye 18 za Erling Halaand

    Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) kati ya Manchester City na FC Porto umeisha kwa sintofahamu, baada ya mshambuliaji hatari wa Man City, Erling Haaland, kujikuta katikati ya vurugu kali na kiungo wa Porto, Pablo Rosario. Mtanange huo uliopigwa Jumanne, Septemba 8, 2026...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Ibrahimovic alipogudua Halaand kanyoa "Na ufute namba yangu"

    Zlatan Ibrahimović aliwahi kumwambia Erling Haaland asikate nywele zake, akidai kuwa nguvu zake zote zilikuwa katika nywele hizo. Baada ya Haaland kuzinyoa nywele zake, alimpigia simu Zlatan ili kumjulisha. Zlatan Ibrahimovic: "Niblock na ufute namba yangu."
Back
Top Bottom