makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,676
- 5,378
Wakuu dhihaka hazitakiwi hapa nipo kwenye wakati mgumu mnoo ,Kama huna chakuchagia tafadhali kausha tu.
Nimejitahidi Kama mwanaume kuliweka moyoni lakini linaniumiza kwa nadharia zilizopo naamini mke wangu atakuwa amenisariti tu.(japo sijawahi shuhudia)
Wakuu ni hivi naishi nyumba moja na wapangi wangu wawili,Ila kwa Sasa wote wamehama. Mpangaji wangu nilimpokea aliahamia na msichana wake na Hari yake ya kiuchumi haikuwa nzuri,ki binaadamu kwa vile wote ni vijana na yeye na mkewe walikuwa watu poa tu nikaamua tuishi Kama familia maana kwa kipindi hicho familia yangu ilikuwa mkoani walienda kusalimia.
Jamaa tokea nimeanza kuishi nae sijawahi kuwa na tatizo nae alikuwa Kama mdogo wangu kazi nimefanya nae nyingi tu,ki ubinaadamu tumesaidiana mnoo na mpaka kuna kipindi kutokana na makwazo na majaribu aliyokuwa akiyapitia kwenye mahusiano yake tulionelea ni vyema tukaokoka tujenge ukaribu wetu na MUNGU.
Baada ya muda mchache mke wangu akaludi dar pasipo na taarifa (sio kesi maana ni kwake) Ila kuweka sawa sikuwahi kuwa na mahusiano nae mazuli kwa tabia zake za usariti nilizowahi kuzishuhudia hapo nyuma.wife alipokuja kwa vile yeye na mshkaji ni watu wa mkoa mmoja wakajenga urafiki wa Kaka na Dada kwangu
Nina kila kitu isipokuwa mke wangu akawa hashindi sebleni kwake, TV anaenda kuangalia kwa jamaa jamaa akiwa anatoka wife anamwambia asifunge mrango ataenda kumalizia muvi aliyokuwa anaangalia Jana yake usiku. Hili Jambo kulikuwa linaniumiza mnoo Ila sikutaka ugomvi nae maana wanangu huwa hawapendi kuona tunagombana, nikawa najikaza kiume haswaa. Kipindi hicho wife anashinda kwa jamaa mke wa jamaa alikuwa ameenda kwao kumuuguza mama yake.
Wakuu msichoke msione ndefu hapa ndipo muvi inaanza.
Kuna kipindi nilikwambia yule mshkaji mke wangu ishi nae kwa akili maana Kuna kipindi atakuletea tatizo.
Nikili wazi tokea mke wangu ajenge ukaribu wakupitiliza na jamaa sikuwahi kuwachunguza Wala kufatilia kikubwa nilikuwa nacheza party yangu familia yangu iwe na amani na furaha, sikutaka watoto wayaone maumivu yangu, maana ningewakomaza vibaya.
Mungu bwana, mke wa jamaa alirudi na mke wangu nae akajirudi akawa anawajibika Kama mama Ila ki ukweli toka moyoni nilikuwa namchukia nikawa siwezii ludi home Kama sijalewa,nikajifunza na sigala ikawa ndio mfariji wangu, ila nikawa nakuambia roho yangu ipo siku ukweli nitaujua tu.
Mwezi uliopita jamaa alihama ghafla Sana mi nilichukulia poa tu maana kazini kwake na home palikuwa mbali. Aiseeh nikiri kwamba sijawahi shika simu ya wife Ila siku hiyo aliisahau anaenda dukani sijui ni maraika wa Aina gani akawa ananiambia kagua simu. Kweli nikaingia nikakuta anawasiliana na mshkaji ambaye alikuwa anaishi nae bi4 yangu,nikaona ah sio kesi maana jamaa yupo mkoa inawezekana anajifariji tu.
Kasheshe nikaingia kwenye message nikakuta anawasiliana na jamaa mpangi aliyehama mesege za madai jamaa anamkatalia kwamba hamdai text mbili tatu jamaa akatuma ujumbe unaosomeka hivi.
"WEWE HUNIDAI PESA ULIYOKUWA UNANIPA NI KAMA FADHIRA YA HUDUMA NILIYOKUWA NAKUPATIA MAANA NILIKUWA NAFANYA KAZI AMBAYO MMEO ALIKUWA AIWEZI AKUFIKISHI.(Mwisho wa kunukuu)
Kengere ilikuwa imeshalia kichwani.
Wiki mbili mbele wife akapata safari akaenda mkoa(mpaka Sasa wapo mkoa)
Nikaona hii ndio nafasi yakugundua ukweli.
Nikamtumtia message wife jamaa unamdai shilingi ngapi na ulimkopesha kwa minajili ipi? (ilikuwa ni kiasi kikubwa mnoo.) Hapo hapo nikamtumtia text na jamaa
Wife anakudai shiringi ngapi? Utamlipa au ni ulimaanisha kwenye Ile mesege yako?
Wife akanitext na kujitetea kwa ushahidi wake wote,Ila jamaa akanipigia na kunieleza yafuatayo.
Mosi akaniomba msamah kuwa alikosea na hata kuhama ni dhamira ilikuwa inamsuta. Akakiri kuwa alikuwa na mahusiano na wife wangu kipindi mkewe yupo kwao, na hata siku Ile ninachungulia dirishani kwake wakati yeye anadinyana na wife alishtukia kuwa nimewaona na alikosa amani, akazungumza mengi mnoo. Ila nakiri sikuwaahi hata kuwafatilia na wala sikuwahi chungulia dirishani kwake. Nikajifanya kweli niligundua nikamuuliza ina maana ilikuwa siku ile tu au ni tendo endelevu? Anasema mpaka siku ile nang'amua ilikuwa ni tendo la zaidi ya mwezi na ushee.
Na alikuwa anatembea na mke wangu Kama kisasi Cha Mimi kutembea na mkewe!!! Nikiri wazi sijawahi hata kugusanisha mikono yangu na mke wake.
Wakuu nilipomwambia wife akaluka mita 1,000 kuwa anamsingizia na wife akashauri aje ili apeleke shtaka mahakamani ili jamaa akasibitishe. Jamaa nilivyomwambia akasema ana ushahidi ambao akaniambia kwa vile ananiheshimu hawezi niambia hivyo yupo tayari kuu peleka mbele ya mahakama au kwa kiongozi wetu wa kiroho.(na akashauri na mkewe atakuwepo maana alifumania chatting zao.
Wakuu, wife amekataa kwa nguvu zote ajaduu na jamaa,jamaa amenihakikishia na kunithibishia na yupo tayari kuweka ukweli hadhalani Leo kesho coz anataka kuwa huru.
Hivi hapo nimuamini Nani kwa nadhalia hizo? Nipo njia panda na ili roho yangu itulie unatafuta ukweli!,, nifanyie Nini?
Siumizwi na mke wangu kudinyana na jamaa,(japo kwa macho yangu Sina ushahidi) naumizwa why atumie pesa zangu kumkopesha jamaa?
Naumizwa na wanangu wataishije bila Mimi? Msaada wenu Wana jamvi Nani mkweli hapa?
Bado sijaamua chochote Ila ili nilale lazima nipige k vant ndogo.
Maswali ninayojiuliza: Kwanini jamaa aniambie vitu vinavyoakisiana na ukweli? Maana Kuna kipindi walikuwa wanacheki zao muvi mpaka sa 7 Ila nikawa nakausha tu.
Jee nimshurutishe wife ili tukaujue ukweli ukweli wa ndani? Nia yangu ukweli kwa majibu nitakayo pata hapa na zile Mambo zakuambiwa changanya na zako najua sitotoka kapa.
Kumradhi kwa uandishi wangu wa la 7.