Jamaa na ndoto.

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,093
Reaction score
2,604
Kuna jamaa mmoja aliota amekufa, alipofika mbinguni akaambiwa kama anataka kurudi duniani achague mambo mawili. Arudi akiwa KUKU au PANYA.

Jamaa akachagua awe kuku. Akaambiwa kama awe kuku basi achukue zoezi la kutaga, jamaa kumaliza kutaga tu kaamka kajinyea kitandani.
 
Na kuna jamaa alikuwa amelala na kuota ameokato pesa nyingi za dhahabu. Alijaza mifuko ya suruali bado pesa zipo. Akaamua kuvua suaruali, kule kwenye miguu akafunga vizuri ili iwe kama gunia. Akajaza mihela yote, akaweka "gunia" lake begani kuangukia mgongoni, akaondoka.

Akiwa njiani akahisi hela zinadondoka, akapeleka kidole kuzuwia tundu zinapodondokea. Alipostuka akakutia kazamisha kidole kwenye tIgO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…