Jamaa Kwishinei

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Huyu nani.jpg

Huwezi amini...
 
iyo kwetu tu, wazungu wakipanda kushuka uwa ngumu kidogo, bill gates atkufa bilionea
 
Photoshop jamani acheni Uzushi huo Nyinyi mnamjuwa lakini huyu jamaa anaitwa nani katika dunia hii?Bill gates



Gates at the World Economic Forum in 2007
BornWilliam Henry Gates III
October 28, 1955 (age 56)
Seattle, Washington, U.S.
ResidenceMedina, Washington, U.S.
NationalityAmerican
Alma materHarvard University (dropped out)
OccupationCo-founder and Chairman ofMicrosoft
Co-Chair of the Bill & Melinda Gates Foundation
CEO of Cascade Investment
Chairman of Corbis
Years active1975–present
Net worth
11px-Increase2.svg.png
US$ 61 billion (2012)[SUP][1][/SUP]
Board member ofBerkshire Hathaway
ReligionNone (Agnostic[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP])
SpouseMelinda Gates (m. 1994)
Children3
ParentsWilliam H. Gates, Sr.
Mary Maxwell Gates
Signature
Website

<tbody>
</tbody>
Bill Gates - Wikipedia, the free encyclopedia Hata kama atafilisika sio kufikia kuomba omba hivyo mitaani ahhh Wabongo kwa kupenda kuzua majambo? Mahodari sana nyie...................@Dotworld
 
Bill Gates akiflisika tanzania tujiandae kufa kwa njaa,xo toa uzush wako hapa jf!!
 
saivi kalala anafikilia atoe msaada wapi..we endelea na upuuzi wako huu wakati unashnda njaa.. ts ney kush
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom