Hii kitu inaendelea sasa hapa hapa nchini.
Nimekuwa nikipewa taarifa hizi kwa Muda na weekend hii nimezithibitisha Mwenyewe.
Ni katika mkusanyiko wa nyumba tatu za mmiliki mmoja zote ziko ndani ya Fensi Moja, Nyumba mbili zimepangishwa na moja anaishi kijana wa mwenyewe nyumba, Familia hizi tatu zimekuwa apo kwa muda wa zaidi ya miaka sita sasa.
Miata Miwili iliyopita mmoja wa Wapangaji alikuwa akiishi mke wake, mtoto mmoja pamoja na mdodo (binti) wake aliyekuwa akisoma Ordinaly Level Secondary, Kijana wa Mwenye Nyumba akaanzisha mahusiano na huyu Binti, Mahusiano hayo hayakuwa na tija kwa upande wa binti sababu ilifikia hatua anaamka asubuhi badala ya kwenda shule anaingia nyumba ya pili kwa kijana, mwisho wa siku mahusiano hayo hayakuwa siri tena kwa familia zote tatu, bahati mbaya ni kwamba Kijana akaja kumtosa huyo binti (miaka miwili iliyopota) na kuanza mahusiano mengine na binti tofauti, ikawa sio siri tena kitu kilichomchanganya sana binti yule jirani, Matokeo ya Form four binti akazungusha ziro na kurudi kwao Kigoma.
Katikati ya Mwaka jana, kijana akaanzisha mahusiano na Mke wa jamaa aliyekuwa anachukuliwa dada yake, nayo ikafikia hatua ikawa sio siri tena hasa kwa huyu jirani mwingine, mme mtu hakuweza kujua sababu ya ubize na au kukosa informa. Jirani wa tatu akaanza kumkanya huyu mtoto wa mwenye nyumba juu ya uhusiano huo ukizingatia tayari alipata kuwa na mahusiano na mdogo wa damu wa jamaa, wapi hakusikia,
Mwanzo wa malipo ulianza siku jirani mwema alipomkuta mtoto wa mwenye nyumba amemuweka mtu kati Girl friend wake, jamaa anadai siku husika binti akiwa anaenda kumtembelea na akampigia simu kumuambia ndo kashuka kwenye gari nje ya geti lakini cha ajabu akashngaa zaidi ya dakika kumi mtu haingii ndani akatoka nje ndo akamkuta jamaa anamtongoza, binti akaingia ndani na kuwaacha jamaa nje, jamaa hakumuuliza kitu akarudi ndani ambako binti alikiri kwamba huyo kijana ameanza kumtongoza muda mrefu sana na anatumia maneno ya kejeri sana kwa jamaa.n.k
Jamaa akaamua kukata mzizi wa fitina akamueleza mwenye kuchukuliwa mke mwanzo mwisho, na hata baada ya kutega mitego two times kwa ajiri ya kuhakikisha, kijana mwenye nyumba anenda kumtafuta mke wa mtu kwenye kitanda cha ndoa.
Siku ya siku, Jamaa akategewa mtego akaingia ndani ya kumi nane, wakiwa uchi wa mnyama mwenye mke na jirani mwema wakaingia vuuuu, funga jamaa kamba, na kumtoa mke kumpeleka ndani kwa jirani mwema akiwa na girl friend wa jamaa, kule ndani jamaa mwenye mke, akamla jicho mgoni wake, na akamfanyia kwa zaidi ya masaa mawili, kisha wamamuachia na kumkanya asimuambie mtu ama sivyo watamwaga picha zote hadharani. ikawa siri.
Baada ya siku tatu, wakamgongea mlango wake, alipofungua wakaingia ndani, jamaa akamla jicho tena "at the gun point" na picha wakachukua, na kumueleza iwe siri, jamaa akakubari, ikaendela namna hiyo.
Ilipofikia sasa ni kwamba kama mke wa Jamaa kasafirii, usiku jamaa anafuatwa, anapika kwanza, wanakula na kisha anachapwa nao, wife akiwepo nyumbani, jamaa anapigiwa simu anaupeleka hotelini anachapwa nao, wao wanamuita mke wa pili, anatia huruma, Japo sio fair.
wala wake za watu na wasio na heshima kwa familia za wenzao, mjirekebishe.