B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,525 Reaction score 74,599 Oct 27, 2024 #21 Aeronautical said: Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga. Click to expand... Kwa hiyo siku hizi ukiona msg tu tayari inaitwa kumfumania?
Aeronautical said: Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga. Click to expand... Kwa hiyo siku hizi ukiona msg tu tayari inaitwa kumfumania?
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,577 Reaction score 46,730 Oct 27, 2024 #22 Aeronautical said: Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga. Click to expand... Huyu jamaa alileta uzi kabla ya huu huenda hujaupitia, mpaka maamuzi ya talaka yanafikiwa ni jamaa kukataa kusamehe baada ya vikao kadhaa.
Aeronautical said: Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga. Click to expand... Huyu jamaa alileta uzi kabla ya huu huenda hujaupitia, mpaka maamuzi ya talaka yanafikiwa ni jamaa kukataa kusamehe baada ya vikao kadhaa.
Rebuild JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,735 Reaction score 7,434 Oct 27, 2024 Thread starter #23 Ngurukia said: Unaogopa kupigwa tukio😂😂 Click to expand... Wee huogopi?
Rebuild JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,735 Reaction score 7,434 Oct 27, 2024 Thread starter #24 Lovebird said: Watuletea umbea wa ya rafikia ako, ama ndo mpambe ubebaye na kumwaga ya wengine Mshauri atafte pisi kali ili x-mke ajisikie hana lolote ajilinganishapo Click to expand... Upendo wee mzuri ujue
Lovebird said: Watuletea umbea wa ya rafikia ako, ama ndo mpambe ubebaye na kumwaga ya wengine Mshauri atafte pisi kali ili x-mke ajisikie hana lolote ajilinganishapo Click to expand... Upendo wee mzuri ujue
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,549 Reaction score 64,916 Oct 27, 2024 #25 Inaumiza sana
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,276 Reaction score 93,824 Oct 27, 2024 #26 Safi sana..ni Raha sana Kumpa Mwanamke Talaka ukiwa tayari umezaa naye. Huko aendako ,wakumuoa hamna . Hapo ndipo majuto huitwa majukuu
Safi sana..ni Raha sana Kumpa Mwanamke Talaka ukiwa tayari umezaa naye. Huko aendako ,wakumuoa hamna . Hapo ndipo majuto huitwa majukuu