Unatumia tecno wewe si buree mbn una haraka ya kuandika kama mkojo wa asubuh ?Muulize kam anajua taiga viazi walifungwa,au lissu hana ubunge sasa ivi?
Mbona pia hajakosea niwewe hujaelewa lugha aliyo tumiaUnatumia tecno wewe si buree mbn una haraka ya kuandika kama mkojo wa asubuh ?
Polee usimind ni utani.
uyo mama anatakiwa afungwe maika 30Utashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.
Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.Mke bado hajashtukia mchezo.
Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.
atamuacha vp,na mke hana kosa.
Kutokukomaa akili ni moja ya matatizo ya mimba za utotoni.Utashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.
Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.Mke bado hajashtukia mchezo.
Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.
Kuna vitu ukishindwa kusikitika unacheka kwa uchungu.
Sasa wakiwa kwenye umalaya mama mkwe alikuwa analia vip?...anamuita baby, my love, mwanangu ama?[emoji3][emoji3][emoji3]