Jamaa huyu sio mzima

Kessy Hamisi

Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
24
Reaction score
8
Basi moja lilipata ajali likatumbukia kwenye mto.Basi katika jitihada za kujiokoa jamaa mmoja akafanikiwa kutoka nje ya mto mara akaanza kuvua shati na suruali na kurudi tena kwenye maji watu wakaanza kumuuliza we vipi tena mbona unarudi tena mtoni jamaa naye akawajibu "NAMTAFUTA KONDAKTA HAJANIRUDISHIA CHENJI YANGU"
 

Lazima alikuwa mpare huyo!
 
Chizi maarifa.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…