Jamaa hapendi ujinga kabisa!

Angalia usawa wa miguu yake na pia ukiangalia kwa makin utaona amekalia kitu si hapo kwenye hiyo misumali
 
Ana roho ya kutuu. Hizo ngazi ataenda nazo kaburini?
 
Licha ya kutaka watu wasikae kwenye hiyo baraza, hiyo imekaa kiusalama zaidi, hapo si rahisi mwizi kuvunja na kuiba!
 
Ka compicate tu...angekua anamwaga upupu tu,Raia wangeipenda shughui yake
 
Inawezekana alikuwa na sababu nzuri tu ya kufanya hivyo,hatujui yaliyomsibu
 
Hapo poa sana.
Piga kazi ukimaliza kapunzike kwako sio kwny ngazi za maduka ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…