Jamaa anazidi kuwa kijana, wapasuke

Jamaa anazidi kuwa kijana, wapasuke

gatekeepertz

Senior Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
180
Reaction score
236
c6abb0febf17e3d3580f71a53213a177.jpg
 
Nawakumbuka UNIVERSITY CORNER, ndani ya T-shirt na JEANS.

Long live ENL.
 
ccm walikuwa wanamroga sana hili afe.

swissme
 
natumaini ovyo kabisa kwasababu alipita kwa mom wako na kukuzaa wewe kisha kukutelekeza kama unabisha kapime DNA

swissme
Usimtukane mtu kwa mapenzi ya mtu ambae alihubiliwa kua ni FISADI,wape ushauli wahubili wote kua walikosema kuijenga jamii kuamini huyu ndugu hatufai,imekuaje amekua mwema?watu si wote watarudi tu kuwaamini wasemacho,maana wanakula matapishi yao.
 
yeye kaanza kutukana hapa ukianza mimi namalizia ili tuwe sawa.

swissme
 
Hanukii hata ufisad hawawehawawezi kumpeleka kwenye mahakama Yao mmpymmpya.. Ya ufisad na 2020 anakuwaa rararais
 
Usimtukane mtu kwa mapenzi ya mtu ambae alihubiliwa kua ni FISADI,wape ushauli wahubili wote kua walikosema kuijenga jamii kuamini huyu ndugu hatufai,imekuaje amekua mwema?watu si wote watarudi tu kuwaamini wasemacho,maana wanakula matapishi yao.
Je hao walio kuwa wanahubili kuwa Lowasa Fisadi na nyie magamba mlikuwa mnasemaje?
 
2020 Ataingia ikulu atake asitake
Aisee umenena yaani umenigusa ku moyo huyu mzee 2020 lazima tumpiganie kwa akili na maarifa tutalinda manyang'au yasiibe kura kwa njia yoyote ile hata wakitumia manjagu hawatachomoka mungu tulindie rais wetu Lowassa 2020
 
Back
Top Bottom