No am so careful na mtoto she is ok na maziwa yana toka sana kiasi kwamba mtoto akiwa kalala mda mrefu yana ni mwagikia.hahahaaaaa kama nakuona vile unavyosoma hizi comment....
ndugu yangu mi nilidhani umechanganyikiwa mtoto kagoma kunyonya
we endelea kujifanya unachanganyikiwa na matendo ya baba yake maziwa yakauke hayo halafu urudi tena hapa hapa tukushauri jinsi ya kuyarudisha tena
Nimerudi tena. Yule baba wa mtoto anataka dna alfu kumbe ana mtoto mwingine nimechanganyikiwa.
No am so careful na mtoto she is ok na maziwa yana toka sana kiasi kwamba mtoto akiwa kalala mda mrefu yana ni mwagikia.
Unaogopa nini hiyo DNA kupimwa au ulichepuka kidogo.
Isije ikawa anajifanya anataka dna lakini kumbe anataka kufanya mambo ya tamthilia kubadilisha damu huko hospitali ionekane sio yake au wapange na hao watu wa lab ndo maana nimechanganyikiwa sabubu nikimwambia sitaki nitampa nguvu.Dada ulishaambiwa DNA kiboko yao - pumba kule, mchele huku.
Kama anataka DNA wewe tatizo lako ni lipi endapo una uhakika mimba ni yake?
Jumuiya ya wana JF hawana msaada tena kwako. Kubali DNA ikigoma bila shaka utajua la kufanya. Kama wapima oil walijuwa wengi kubali kuwajibika!
Isije ikawa anajifanya anataka dna lakini kumbe anataka kufanya mambo ya tamthilia kubadilisha damu huko hospitali ionekane sio yake au wapange na hao watu wa lab ndo maana nimechanganyikiwa sabubu nikimwambia sitaki nitampa nguvu.
Una umri gani una elimu gani?
nipe mimi hiyo hela nipike uji wa futari lolwe nawe hatukuelewi,unachanganyikiwa na nini? Si uliambiwa urelax? Au HUYO MTOTO SI WA HUYO BWANA??? Lea mtoto huyo ebo! Kama huna hela ya uji wa mtoto ni pm ntakupa so kulialia hapa kulilia huyo mwanaume !! Ka ulilikoroga ndo ulinywe!!