Nani unamzungumzia?? yule jamaa aliemuoa bibi yetu mbunge ama??
kuna jamaa anapenda wanawake wazee, ameshatembea na wanawake walio na umri sawa na bibi yake,, tatizo linaweza kuwa nini?
^^
Labda sio wasumbufu
^^
Mkuu ondoa 'MAY BE'!
Hawa wa digitali PASUA KICHWA sana!