Jamaa analalamika kutongozwa na njemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa analalamika kutongozwa na njemba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Simba Mkali, Aug 14, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kuna mshika mmoja analalamika kutongozwa na wanaume mwenzake, kisa cha yote ni mke wake. mke wa jamaa alienda sokoni na kukutana na mwanaume aliyemtongoza na kisha kumuomba namba ya cm mwanamke akakubali ila akadanganya jina na kutoa namba ya mumewe na kumwambia jamaa nipigie baadaye kwa kuwa sasa hivi haina chaji.
  Kila akitongozwa na wanaume mwanamke huyo anafanya hivyohivyo jamaa amenilalamikia kuwa afanye nini kwa kuwa sasa imekuwa too much, jamaa wanapiga kumtongoza na wengine wanakuwa wakali wakisikia sauti ya kiume na wanamwambia " Acha kupokea simu za watu mpe mwenye simu yake." eti afanyeje?
   
 2. f

  fahad clay Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imekutokea nini?pole!
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Amwambie mke wake aache kutoa namba yake, kama kuliwa anaweza kuliwa tu na siku akiliwa hatajua aache kumzuga kwamba ni mwaminifu sana.
   
 4. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Sasa too much kila kitu kitakuwa kimenitokea mimi. tatizo la JF watu wengine huwa na majibu ya kucopy & kupest ili tu waonekane wamechangia mada.
   
 5. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  the lady is taking an alibi!jamaa atajiona yes mke wangu muaminifu!
   
 6. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mkuu nakubaliana na wewe anajitia usafi ambao hana, mwanamke asiyetaka kutongozwa hawezi kutongozwa, Ipo sura ya 'no-nonsense' akiweka hata kama ulikuwa umekuja kwa nia hiyo utajikuta unaulizia dada samahani eti sasa hivi saa ngapi! huyu hana neno kabisa anamzuga mume wake tu
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  akubali tu
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Amkomesha huyo wife wake hana ulazima wa kutoa namba anaweza kukataa bila ya kutafuta headache nyengine
   
 9. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha mkuu yani msaliti mchizi wake.
   
 10. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Akutane nae live ili atiwe jambajamba huyo mtongozaji
   
 11. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nahisi hii ishu imemtokea mtoa mada!
   
 12. J

  Jots Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi kabisa,mama anaonyesha Kuwa na yeye anatongozwa hivyo punguza umalaya mtaani,huwezi jua huenda rafiki yako anamademu kibao muulize vizuri
   
 13. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Amkanye mkewe na hiyo tabia maana nahisi kama ni hujuma vile! Kutongozwa atongozwe yeye iweje namba ya simu atoe ya mumewe? Si angebuni namba yoyote tu kichwani aitoe? Hivi ni lazima kila mwanamke anayetongozwa anatakiwa kutoa namba ya simu? :sleepy:
   
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wameishiwa mawazo.
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kwani huyo mwanamke ni lazima kuwa anatoa namba ,hawezi kukataa?
   
 16. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ana show love kwa husband

   
 17. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pamoja sana. Tatizo la dada zetu wa kusini Mtwara hawajui kukataa. Hivyo ndiyo kajitahidi.
   
 18. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Sishangai kusikia hivyo.
   
Loading...