jamaa aligeuzwa kuwa mgegedwa

jamaa aligeuzwa kuwa mgegedwa

Powel Mizengo

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
126
Reaction score
24
Ni story ya kweli: ,J amaa mmoja alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yke ni mtaalamu wa mambo ya sumbawanga akampachika jamaa jinsia ya kike alipofika mahakamani kuhojiwa akasema mi cjampa ujauzito kw 7bu mi nina jinsia ya kike kw kuthibitisha akajifunua nguo bac akashinda kesi wakati anakaribia kufika home akaona w2 wamejaa wanalia akauliza kulikoni akaambiwa bibi amefariki! vuta picha kama ni ww ungefanyaje?
 
JF imekuwa kama udaku vile
 
anatafuta vijana wa kiume huyu...maana nahisi kinamnyevuanyevua......we subiri!
 
Tukuulize weye kuwa ingekuwa ni kweli ungekuja kutuambia hapa kweli?
 
Ni story ya kweli: ,J amaa mmoja alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yke ni mtaalamu wa mambo ya sumbawanga akampachika jamaa jinsia ya kike alipofika mahakamani kuhojiwa akasema mi cjampa ujauzito kw 7bu mi nina jinsia ya kike kw kuthibitisha akajifunua nguo bac akashinda kesi wakati anakaribia kufika home akaona w2 wamejaa wanalia akauliza kulikoni akaambiwa bibi amefariki! vuta picha kama ni ww ungefanyaje?

Hii story haina hadhi ya jf. Peleka fb au istagram.
 
Hadi siku iishe bibi atakuwa amefariki mara nyingi. Hii mara ya pili bibi amefariki ukiacha ile ambayo ww upo uvunguni saizi amefariki ww ukiwa mgegedwa mtarajiwa
 
kuandika hujui... hata kuongeza chumvi hujui!!!

next time nakupiga burn!
 
Umeshatoka chini ya uvungu!!!!!!!!!!!!!!!!!

washamtoa...
CHABOMZA2.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom