Jamaa ako na nusu kichwa...

Jamaa ako na nusu kichwa...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
hii sio photoshop na jamaa sio taahira... Anaitwa Carlos Rodriguez.
Ni ajali tu ilitokea, madakitari ikabidi waondoe sehemu ya bupuru la kichwa chake.
Yaliyojiri yakajiri. carlos-rodriguez-mugshot.jpg
 
Duh! hujafa hujaumbika.

afadhali yeye techno ilimwezesha angalau kupata wasaa wa kuvuta hako kasigara.
Ingekuwa pale Upanga kwa akina Ulimboka sijui kama wasingemzika hai huyu...
 
Back
Top Bottom