Hata kama ni hivyo, sidhani kama inahalalisha ulaji wa mbwa...ukiona mwenzio ananyolewa wewe vaa helmet.
tanzania tumejiandaa vipi na baa la kupanda kwa bei ya vyakula??
Duh!!!...no comment.😕Jamani mbwa si kitoweo tu kama ndezi kule kwetu Iringa ndo yenyewe hiyo.
Jamani mbwa si kitoweo tu kama ndezi kule kwetu Iringa ndo yenyewe hiyo.
Hata kama ni hivyo, sidhani kama inahalalisha ulaji wa mbwa...
but again, njaa inatisha and it can lead people to do the unthinkable.
Ukifika Vietnam, nyama ya mbwa huwa ni kwa "high class people", yaani inauzwa bei mbaya zaidi ukilinganisha na nyama zingine.
Jamani mbwa si kitoweo tu kama ndezi kule kwetu Iringa ndo yenyewe hiyo.
aaaaah basi hufai.....Shughuli!..Ndo maana sipendi kula nyama nyama mana huwezi jua kama ni mshikaki wa nyama ya mbwa au paka!..Ila huko China si balaa,vyura na nyoka kitoweo safi. Sijui ni mazoea au nini?
Wewe umeshakula hiyo nyamaya mbwa?Ikoje mkuu?
aaaaah basi hufai.....
aaaaah uliza wenzako uhondo wanaoupata.....Hata sijakusoma mkuu!..Fafanua sifai vipi?
Siyo kwamba ni Veg. ila naogopa kula nyama sijazizoea.
Duh!!!...no comment.😕
nyama ni nyamashughuli!..ndo maana sipendi kula nyama nyama mana huwezi jua kama ni mshikaki wa nyama ya mbwa au paka!..ila huko china si balaa,vyura na nyoka kitoweo safi. Sijui ni mazoea au nini?
Wewe umeshakula hiyo nyamaya mbwa?ikoje mkuu?
Tatizo hapa sio kula Mbwa, kosa la huyu bwana ni kuwauzia majirani zake nyama bila kuwaambia ni nyama ya mnyama gani, hapo atakua amefanya vibaya kwa kuzi offend imani za watu wengine.
Kama imani yake inamsuhusu kula hama shida Ruksa kula mbwa, tusimshangae sana huyu jamaa labda mwenzetu amezoea nyama hiyo, na sii kitu cha kushangaza kwani aina za vyakula tunavyokula vinatofautiana sana. Badala ya kushangaa ni kumuelewa tu huyu mwenzetu ilimradi havunji sheria.