Jama charge ya betri haisuport laptot msaada plz!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Nna laptop aina ya dell latitude d630 inasumbua upande wa charge yenyewe hata uicharge had ioneshe 100% lakin ukichomoa power cable kwamba ijitegemee ndani ya dk 5 inaisha na kuzima betri hii nikijaribu kwenye laptop ya mwenzangu inastahimili kwa muda wa kutosha je tatizo nini na linatatulika? Msaada wenu tafadhari!
 
Inawezekana life span ya battery yako imefikia kikomo. Ama katika power option umechagua "High performance" jaribu kuchagua "Power save" ama battery yako siyo kwa mashine hiyo jaribu kuangalia specification zake kama zinaoana na laptop yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom