Jakaya na uhuru leo

Jakaya na uhuru leo

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
4,990
Reaction score
4,271
jk.jpguhuru.jpgkikwete uhuru.jpg

  1. Tabasamu na hatihati ya EAC kuvunjika hapa imefichwa na nini,mbona kama haionekani?
  2. kwanini walianza vizuri na sasa wanataka kumaliza vibaya?
  3. ule uswaiba wakati Uhuru ni candidate uliishia wapi?
  4. strong hand shaking btn Uhuru and Jakaya on inauguration of presidency ilimalizikia pale?
  5. Deeply chatting ya hawa jamaa(marafiki) kwenye ceremony after Uhuru inauguration ilsishia pale??
 
Anamwambia 'umeona nilichofanya DRC' Ha ha ha!
 
Kenyatha anajaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili.
 
aaahhhhh ili koti la mh rais mbona kama halijavaliwa na rais wa nchi ya TANZANITE, ALMAS, NA DHAHABU?
 
JK anamwambia Kenyata aunde Jeshi Imara.
 
Back
Top Bottom