Kazi zilizofanywa na mh jakaya kikwete ni kama ifuatavyo
1,miundombinu ya Barabara alijenga Barabara za lami kuunganisha karibu mikoa yote ya NCHI hii .Leo mtu unaweza Toka mbeya mpaka masasi kwa siku moja tu.
2.ELIMU.alijenga shule za kata NCHI mzima na kuondoa mfumo wa wana funzi kuchaguliwa badala ya kifaulu.pia alidahili wanafunzi wengi wakwenda chuo kikuu na kuwapa mikopo.pia alijenga vyuo vikuu vingi ikiwemo udom.
3.AFYA.alijenga hospitali za mikoa karibu NCHI mzima ikiwemo hospitali ya taifa ya moyo jcki iliyopo dar.pia aliajiri nakusomesha wataalam wengi kwenye sekta ya afya.pia wakati wa utawala wake alitoa huduma ya afya bure kwa mama mjamzito na mtoto aliye chini ya miaka mitano.
4.DEMOKRASIA.alruhusu vyama vya siasa kufanya kazi bila bughudha.pia alijitahd kukutana na viongozi wa vyama vya siasa mara Kwa mara.
5.NISHAT.alituletea umeme wa rea unaosambazwa karibu vijiji vyote hapa nchini.
6.UTAIFA.alihakikisha watanzania tuwa moja muda wote pamoja nakutofautiana kiitikadi ,dini,makabila nk.ndio maana hata aliposhauriwa kwamba atumie jeshi lapolisi kwanyamazisha wapinzani wake kisiasa akikataa kabisa nakushauri maswala ya kisiasa yajibiwe kisiasa.
AJIRA.alijitahd kutoa ajira kwa vijana wenye fan mbalimbali ,angalau kila mwaka alikua anatoa ajira ikiwemo kupandisha mshahara ya wafanyakazi.
SEKTA BINAFSI.alihakikisha sekta
binafsi inakua kwa Kasi sana ususan sekta ya viwanda,usafirishaji ujenzi nk.
Kwa kweli yapo mengi sana aliyofanya huyu mzee.kwa Leo naomba niishie hapa.pamoja namapungufu yake yote kama mwanadamu mengi alitufanyia mazuri sisi wananchi.