Jakaya Kikwete kaibomoa au kaijenga CCM?

iGodmanhustler

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
609
339
Kwanza huu uzi haukuhusu wewe UKAWA ni strictly CCM thingy.Tathmini yangu kuhusu JK katufanyia nini sisi kama CCM kwa kipindi alichokua mwenye kiti wa chama.

1. Katujengea ukumbi mpya na wa kisasa.Waliopita wao hawakuona umuhimu wa hili (mtoe mwalimu),Jk alisimamia kidete mpaka kura za maoni zikafanyika kwenye ukumbi mpya.Asante JK

2.Kamuachia kiti mtu muadilifu ,mchapakazi,mchakato wake haukugubikwa na rushwa au kununuliwa kwa namna moja au nyingine, hii ni tofauti na waliompa yeye kiti.

3.Kafanikiwa kutuonyesha wanafki waliokua wamejificha ndani ya chama kwa mda mrefu saizi tunawatambua kwa majina na sura zao tunazijua.

4.JK kafanikiwa kutuondolewa wale wote waliokua wanakichafua chama kwa ufisadi na kujilimbikizia mali kwao! Chama kinarudi kwenye misingi yake kinakuwa cha wakulima na wafanyakazi

5.JK kafuta dhana kwamba kuna watu wakubwa kuliko chama.

Ongezea na wewe
 
Peleka kwenye blog zenu za Chama Cha Majipu kama haituhusu
 
Back
Top Bottom