Jakaya Kikwete azindua ofisi ya CCM-Wilaya Kibaha Mjini

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizindua Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha mjini mkoani Pwani leo. Ofisi hiyo imejengwa na familia ya Mbunge wa Kibaha mjini Slyvester Koka (kulia)
 
Hajapata trip ya kwenda kwa ban ki moon?, aiseee kwa kweli sasa ameanza kukijenga chama chake
 
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizindua Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha mjini mkoani Pwani leo. Ofisi hiyo imejengwa na familia ya Mbunge wa Kibaha mjini Slyvester Koka (kulia)
JK, jembe lililomaliza kazi na kuiacha nchi katika mikono salama ya tingatinga JPM. Hakika wana ccm na watanzania wazalendo watakumbuka daima pigo lako la mwisho chini ya uenyekiti wako lililoiepusha nchi yetu na makucha ya mafisadi. Hakika uweledi wako katika siasa hauna mfano. Kongole JK.
 
Kweli kabisa, maana angechukua Membe sijui ingekuwaje
 
Back
Top Bottom