Jakaya Kikwete anamuogopa Rostam Aizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jakaya Kikwete anamuogopa Rostam Aizi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jul 19, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama Betrice shelukindo kawasilisha ushahidi wake na w/mkuu akaukubali, kwanini ushahidi hii wa waziwazi
  Jakaya kikwete anakaa kimya kama hajui? Rostam Aziz ndo kagoda na ushahidi ulishaletwa hapa na Invisible
  kwanini wabunge wetu wamekuwa vilaza bila yakuweka utaifa mbele? Hapo ndo nilikuwa namukumbuka Dr Slaa
  akiingia bungeni mikoba wake umejaa mafile nda evidence za kushiba

  NB: Mod naomba hii thread isiunganishe nataka wabunge watu kuwakumbushi hii kitu
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Una akili sana.Husahau??? na tuanzie hapa kabla kipolo hakijachacha
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wewe utakuwa na ugojwa wa Malaria ++
   
 4. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Toa hoja :(
  Hata dokta hutoa majibu yenye maelezo (hoja) baada ya kupitisha vipimo maabara
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hakuna hoja ya kuto hapa maana ni hakuna ushahidi wowote
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huu cha mtoto. Kuna ule wa wakili SANZE aliyetumwa na MEREGESI ambao MwanaHALISI limeuchapa mara kadhaa. Kamanda Kubenea, wewe ni member humu njoo utupe ile barua ya wezi hawa kina SANZE na wenzake.
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  KAMA HUYU KIWETE WENU ANGEKUWA JASIRI KAMA MZEE WA MONDULI, sasa hizi ROSTAM keshaozea gerezani.
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,597
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Jamani JK hamuogopi Rostam bali anamheshimu ,ni bosi wake ati.Jamani Rostam ndiye rais wa nchi hii, yeye ndiye anaamua nani apewe nafasi gani, nani auawe nk.
   
Loading...