Jakaya Kikwete alitumia hii mbinu kumzika Profesa Mwandosya kisiasa

Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
Professor Kabudi, denke bitte an die duetschen Tugend! Achana na huyo mama. Anakudhalilisha tu. Look! Professor Kabudi, Mzee Mkuchika mwenye umri wa miaka 73 atakuwa na mawazo gani kukupita wewe mwenye umri wa miaka 65 na Mh. Lukuvi, mwenye umri wa mika 66 kiasi kwamba yeye akapewa wizara? Das ist eine Grotesk!

Wewe ni kichwa Professor wangu. Wewe ni material. Maarifa yako na uelewa wako wa mambo mbalimbali ya kihistoria ya dunia na ufahamu wako wa koo na kabila mbalimbali za Afrika in particular East Africa na uzalendo mkubwa uliokuwa nao kwa nchi yako, umekuwa thawabu kubwa sana kwa watanzania.

Katika nchi yetu Tanzania hakuna mtu wa kaliba yako mwenye uelewa mpana namna hiyo.

Kwa hali hiyo ningekuomba Professor wangu, mwachie huyo mcheza taarabu hiyo nchi aitawale mwenyewe na hicho chama akiongoze mwenyewe. Wewe rudi darasani, mahali ambako vijana wa kesho kutwa watakao iokoa hii nchi, wanakuhitaji ukawamwagie material yako ili iwajenge kwa mapambano yajayo, badala ya kuburuzwa kama mbuzi na mtu asiye kuwa na uwezo wa kusoma dira za nyakati.

Usihangaike na siasa za kwenye makopo ambazo njozi zake zimekwisha feli. Huyo mama hajajua kuwa ulimwengu hivi sasa uko kwenye vita vya kiuchumi. Huko nje ma-predators kibao wamejaa wanasubiri waturarue vipande vipande na kutumeza wakati yeye anaona faraja sana kuzungukwa na incompetent people ambao kazi yao itakuwa moja tu, ya kumwitikia "ndiyo mama" na sio jambia lililotengenezwa na kunolewa kwa chuma ya kijerumani kama wewe.

Maamuzi yake haya ya kuteua watendaji wake kwa kutumia vigezo vya majina ya baba zao pasipo kuangalia uwezo wa mtu, asipo yarekebisha kwanza yanakwenda kuua chama na pili mwaka 2025 hapiti. Nimm mein Wort! CCM itapoteza credibilty kwa watanzana na wao watalizamisha jahazi. Abwarten!

Akumbuke kwamba zile zama za Kikwete (Mkwere) za kusimika incompetent people madarakani madam wanabeba majina ya baba zao akitegemea nao watambeba, zama hizo zimepitwa na wakati.

Anasahau kwamba miaka mitano ya hayati Rais Magufuli vijana wa leo wamemwelewa vizuri sana hayati na hawata kubali wapelekwe kule kule tuliko toka kwa kuchagua viongozi kwa kulindana.

Ebu angalia mwenyewe Professor; watu kama Mh. Nape Nnauye, Mh. Januari Makamba, Mh. Ridhiwani Kikwete, Mh. Pinda, Professor Mbalawa na wengineo wana vision gani ya kuweza kuwavusha watanzania kiuchumi? Mbona naona ni failures tu?

Mimi Lema sio mtu wangu, lakini hiki alichokisema hapa, kwenye hii Audio nakubaliana naye 100%.

Kuna mtu asiyeugua? Key ni kwamba alimpeleka ikulu kuuua ndoto za urais za mwandosya
Kwani kugombea urais ni lazima uwe waziri?! Na baada ya kumpeleka huko Ikulu, Mwandosya hakuchukua fomu ya kugombea urais? Mbona una hoja za ajabu wewe?
 
Na Mwandosya amshukuru sana JK kwa kumfanya Waziri asiye na Wizara Maalum. Kumbuka kuwa Mwandosya aliugua pingili za UTI wa mgongo. Ilibidi apelekwe matibabu India kwa miezi kama 6 hivi ndipo akayengamaa. Angemuacha bila status ya Uwaziri nadhani Mwandosya asingeweza kujitubu kwa miezi 6 kwa fedha zake
Upo sahihi kabisa, nashangaa huyu jamaa analeta viroja hapa! Nakumbuka wakati ule JK alikuwa very criticized kwa kuendelea kumkumbatia Mwandosya kwa sababu bado afya yake ilikuwa na mgogoro!
 
Mama anaogopa uchaguzi wakati keshapiga kampeni mara mbili akizunguka nchi nzima. Kwa huu uoga ataumiza wengi sana. Baada ya kuona kelele nyingi kuhusu Lukuvi na Kabudi anajifanya eti kuwapa kazi maalum. Yaani anadhani hii mbinu wakongwe hatuijui.
Sawa mnaiju!Alafu mnafanya nini sasa?.Kila kitabu na zama zake.Imekwisha hiyo.
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
Wacha ujinga kajiunga CCM kawakuta kamkuta Nani Kabudi ??
Au mwandosa hebu weka Kadi ya Mwandosa kisha tukuwekee Kadi ya mama msiongee Kwa mihemko
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
Mtu akiwa uzoefu hastaafu? Akistaafishwa nongwaaaaaaa??? Wabongo bwana. So lazima lukuvi na kabudi wawepo kwenye baraza ili haki tuonekane imetendeka???
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
Ushauri tu ni kwamba akina Lukuvi wakatae hizo nafasi za rais hadharani kwa staha na wamuombe hadhadani kuendelea na kugombea uspika na waombe baraka zake HADHARANI NA KWA STAHA.

Wakifanya ivyo watatoboa mbeleni
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
Tushachoka kauli zenu bwana. In fact yeye ndo Rais, anaweza fanya chochote. Akiamu anaweza kuwapa wizara, akiamua anaweza asiwape. Mwacheni Rais apige kazi na cabinet yake. Wanaofaa ni wengi. Hawawez wote kuingia kwenye cabinet
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
Huu ni ugonjwa mbaya kabisa si kwa vijana wala Wazee kufikiria fulani ni wa daraja la cheo flani. Cheo ni dhamana leo unaweza kuwa hapa kesho pale. Tafuta wasifu wa Mzee Msuya, Kawawa na hata Jaji Warioba. Mzee Kawawa aliwahi kuongoza nchi kama PM baada ya Mwalimu kujiuzulu kabla ya Tanganyika kuwa Jamhuri, lakini aliwahi kuwa Waziri bila wizara. Mzee Msuya aliwahi kutupwa benchi kabisa.

Mimi ni kijana wa 84...ila nachukizwa na tabia mbaya ya vijana wenzangu wenye bahari ya uchu mtu ni mbunge lakini lazima eti awe Waziri na Wazee nao wakiondolewa tunasema wametumikia nchi, wanajua system hawapaswi kuondolewa! Nani ana hatimiliki na madaraka ya umma? Huu ndiyo mwanzo wa kukosa uadilifu. Narudia, tumuache Rais aongoze nchi na tuwaache Profesa Kabudi na Lukuvi watumikie Taifa ktk eneo jingine. Kabudi baba wa mikataba na Lukuvi ana kazi maalum na Rais shida nini?
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu

Samia ni Zao la Chipukizi mapinduzi matukufu....!
 
Inakuaje mtu ana kutoa uwaziri afu ana jitokeza hadharani eti ugombei u speaker while ni nafasi ambayo mtu yoyote ana weza kugombea hawe mbuge wala asiwe mbunge
Hata mimi nilishangaa sana mama kuwa msemaji wa hawa jamaa.

Kifupi imepigwa siasa chafu kuwazima hawa jamaa kwenye public waonekane wanahitajika huko ikulu.

Za kuambiwa changanya na zako.
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu

Unaijua CCM wewe?
 
Back
Top Bottom