Jakaya Kikwete alitumia hii mbinu kumzika Profesa Mwandosya kisiasa

Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
Mbona LUKUVI tayali ameshachukua
 
Hakika LUKUVI ndio wenye CCM yao hao wengine ni Wahamiaji tu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Duh ummpe urais mnyakyusa kikwete kacheza vxr snaa yaaani kacheza haswa hao watu Ni makabila snaa sas mwandoysya eti nae awe rais..hpn hpn kbsaa..na kumpa kabudi nae yale Yale ya mwendazake ..
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
Uliitaka hiyo nafasi yakuitwa ikulu wewe au acha wenzio wale keki ya taifa meza kuu , wivu nao sii mzuri. Pambana nawe ukaribiashwe keki meza kuu.
 
walishindwa kumlinda aliejua thamani yao ona sasa wanavyonyanyasika always mtu anaejua umuhimu wako mlinde hata kama hapendwi .

hii ni dhahili samia hataki hawa wazee washike popote wasije pangua mambo yaliyo nyuma ya pazia hii nchi wanaiharibu watu watatu tuu n*pe,rz 1 na december Mama anafanya juu chini kulinda hao watu sijui kwa nini kawa hivyo itc like mpk kuanguka kwa Magufuli anajua vizuri sana.
Umeandika ujinga kama wajinga wengi wa kitanzania wanaopatikana huko FB
 
walishindwa kumlinda aliejua thamani yao ona sasa wanavyonyanyasika always mtu anaejua umuhimu wako mlinde hata kama hapendwi .

hii ni dhahili samia hataki hawa wazee washike popote wasije pangua mambo yaliyo nyuma ya pazia hii nchi wanaiharibu watu watatu tuu n*pe,rz 1 na december Mama anafanya juu chini kulinda hao watu sijui kwa nini kawa hivyo itc like mpk kuanguka kwa Magufuli anajua vizuri sana.
Wangemlinda wasingeteseka namna hii.
 
Mbona kama Mwandosya aliugua sana kipindi fulani ndio akapewa majukumu hayo kulinda Afya yake?
 
Mi naomba niulize, kuwapelekea watu wasio julikana na hii kuwapa ulaji ikulu bora ipi?
 
Zama zao zmekwisha bwashee
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu

You can not give out what you do not have.

Akili yako Ina negativity na Wenzako unawawazia hayo. Inaonekana ulishampa mama maadui unaowahisi wewe.

Sasa kakushangaza unabadilisha Gia angani kukidhi kufeli kwako.
 
Wamechoka ki umri na kiakili wakacheze na wajukuu, Raisi hapangiwi
 
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi

Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika rasmi kisiasa

Leo hii Rais anawaumiza Lukuvi na Kabudi kwa kuwaahidi cheo ambacho hakipo huu ni udhalilishaji mkubwa

Hivi kweli Lukuvi wanakosa Wizara za kuongoza ila kina Makamba wanapata wizara?

Rais Samia muogope Mungu,wewe umejiunga na CCM umewakuta hawa watu leo hii unawadhalilisha hivi?

Lukuvi ungechukua fomu ya kugombea uspika wa bunge hata wakikukata jina lako watanzania tutajua picha halisi kuwa Rais hawapendi na hawataki aidha yeye binafsi au mstaafu
Na Mwandosya amshukuru sana JK kwa kumfanya Waziri asiye na Wizara Maalum. Kumbuka kuwa Mwandosya aliugua pingili za UTI wa mgongo. Ilibidi apelekwe matibabu India kwa miezi kama 6 hivi ndipo akayengamaa. Angemuacha bila status ya Uwaziri nadhani Mwandosya asingeweza kujitubu kwa miezi 6 kwa fedha zake
 
Back
Top Bottom