Jakaya Kikwete akijiunga CHADEMA itakuwaje????

pascaldaudi

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
534
96
Wana JF, nina wazo, hebu tufikiries, je ikitokea Rais wetu Jakaya Kikwete kahama CCM na Kujiunga Chadema kitatokea nini???????
 
jk hana umuhimu na hahitajiki katika chama chochote hata ccm kwenyewe ni wazi wanajutia kwanini walimchagua kupitia chama chao na hawakusikiliza ushauri wa baba wa taifa nyerere.jk atakua na wakati mgu baada ya kumaliza-kama atweza kumaliza muda wake
 
et eh! mbona alitaka kuhamia chadema 2005? yeye na Lowassa kama wasingepitishwa na CCM? however, alikuwa pia na chama chake kingine mfukoni!!! kumbukeni wanasiasa wowote wale wanashabihiana kwa vitendo jamani!!

JK kesho akimaliza urais na akataka kwenda chadema, hamna mwenye ubavu wa kumzuia! we all know that, records show that....tajeni waliokuwa CCM ambao wako CDM leo!

swali gumu hili
 
Sijui litaongezwa jina kwenye shortlist kwa interview ya kuwania nafasi ya kuwa mhudumu wa ofisi ya Chadema ya kata fulani?

Ila kwa vichwa vilivyopo, kupita interview hiyo itakuwa kazi kwey kwey...
 
Wana JF, nina wazo, hebu tufikiries, je ikitokea Rais wetu Jakaya Kikwete kahama CCM na Kujiunga Chadema kitatokea nini???????

Itabidi tumfanyie uchunguzi wa akili kwani kuna mengi itabidi ayafanye na kuikataa familia yake..
 
Kama Chadema watampokea kwa shangwe wajue yatakayokuwa yameipata CCM ndo yatakuwa yanawaelekea wao. JK anaweza kuwa kiongozi mzuri tu ki-utendaji kinachoisumbua CCM na serikali ya awamu ya nne ni RA maana Mhajemi yule ameng'ang'a remote controler ile mbaya. Ndo maana hata JK hapumui kwa uhuru.
Akihamia chadema na bosi wake (RA) basi ujue ufisadi utakofuatia hapo tutakufa kwa njaa ndani ya miaka miwili tu.
 
Back
Top Bottom