Ukiwa na mtoto kama wewe nakupeleka ukaishi sudan.
Jaji Warioba anaongea sasa kwenye kipindi cha dk 45. Wahi umsikie!
Nimechelewa kwa anaejua kipindi kinarudiwa lini na saa ngapi atujulishe.
ukiona hvyo,jua hajasema wanachotaka.Jameni tupeni sisi tuliombali kasema nini? Swissme
Nimechelewa kwa anaejua kipindi kinarudiwa lini na saa ngapi atujulishe.