Larry king
Member
- May 23, 2014
- 39
- 3
Tatizo sio UKAWA kurudi Bungeni, Ukawa wameshatoa Msimamo wao ijadiliwe Rasimu ya Jaji Warioba, wao CCM wanataka kujadili Rasimu ya Lumumba ambayo haipo ktk Rasimu iliyowasilishwa Bungeni. Hao wanaowasihi UKAWA kurudi Bungeni nadhani wangaliwasihi CCM kujadili Rasimu ya Warioba. Huu ndio utakuwa Muarubaini wa UKAWA kurudi Bungeni.