PreGE2025 Jaji Mutunga na wenzake bado wanashikiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (Dar es salaam)

PreGE2025 Jaji Mutunga na wenzake bado wanashikiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (Dar es salaam)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
"Tunaendelea kushikiliwa katika eneo la mahojiano la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam pamoja na @WMutunga na @Honeyfarsafi.

Tumeambiwa tu tusubiri afisa mwandamizi afike. Hatujapewa taarifa nyingine yoyote. Bado wanashikilia pasipoti zetu.

Huenda tukafukuzwa na kupandishwa kwenye ndege inayofuata kurejea nyumbani." - Husseni Khalid, Mmoja wa waliambatana na Jaji Mutunga
1747641854741.png

1747642186271.png

Soma pia
 
View attachment 3338739
View attachment 3338748
Soma pia

1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, ikiwa Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.

Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?

Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.

HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.

Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is also bad for the gunners!
 
Safi sana, kabla hawajaondoka wachapwe bakora 24
 
Back
Top Bottom