Nimeshangaa nimemsikia jaji mkuu mstaafu Agustino Ramadhani BBC anasema 'Tanzania ina mikoa 22 sijui 23' My take: sikufurahia kwa mkubwa huyu kushindwa kuweka kichwani mambo ya msingi kama hili; uzee nao tatizo tunahitaji hata tume kuzingatia kuwa na vijana zaidi kuliko wazee
kujua au kutojua idadi ya mikoa ni minor issue sana, we unajua idadi ya mikoa iliyopo sasa?Nimeshangaa nimemsikia jaji mkuu mstaafu Agustino Ramadhani BBC anasema 'Tanzania ina mikoa 22 sijui 23' My take: sikufurahia kwa mkubwa huyu kushindwa kuweka kichwani mambo ya msingi kama hili;
Hao vijana unaowataka wamelifanyia nini taifa? Sio kila kitu lazima wawepo vijana na sio kila kijana anaweza..uzee nao tatizo tunahitaji hata tume kuzingatia kuwa na vijana zaidi kuliko wazee
Jestina wewe siyo Jajimbona hata mie sijui,lol:suspicious:
mbona hata mie sijui,lol:suspicious:
Duh...mbona na wewe unapoteza uhalali wa kumlaumu jaji mstaafu! Katika mikoa iliyoongezwa hivi karibuni hakuna njoluma wala mpanda! Ni njombe na katavi!Nimeuliza tu wala msinitemee cheche, angalau ukijua ilikuwa 25 kabla kuongezewa mmoja na baadaye Simiyu,Geita,Njoluma na Mpanda. Lakini kusema 22 sijui 23 lazima nishangae!