LTN USU WA MADOSO
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,193
- 859
Tume ya utumishi wa mahakama Tanzania iliajiri watanzania 348 mwaka Jana mwezi wa sita 2016 na kuwapangia kazi kwenye mahakama mbalimbali na serikali iliwapa pesa ya kujikimu baada ya kuanza zoezi la uhakiki walisimamishwa kazi toka mwaka jana wapo nyumbani hawajui hatima yao.
Nakuomba jaji mkuu wa mahakama ya Tanzania kulifanyia kazi hili ili Hawa watanzania mliowapa mikataba ya kazi wapate kurudi kazini.
Nakuomba jaji mkuu wa mahakama ya Tanzania kulifanyia kazi hili ili Hawa watanzania mliowapa mikataba ya kazi wapate kurudi kazini.