Jaji Lubuva kuandika historia mpya ya Tanzania

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
Kwa jinsi ninavyoona NEC wanavyoweka mambo wazi na kufanya kazi kwa uwazi naona kuwa mh.Lubuva ataandika historia mpya ya Tanzania kwa kumtaja na kumtangaza rais kutoka upinzani.

Kitendo cha kusema na kuelekeza kuwa matokeo ya kura ya wagombea wote Rais, Mbunge na diwani katika vituo vya kupigia kura ni jambo ambalo huenda likapunguza uchakachuaji maana siku za nyuma masanduku ya kura upande wa Rais zilikuwa zinahesabiwa kwa mkurugenzi na magari yaliyokuwa yakibeba masanduku hayabebi mawakala wa chama chochote.

Kwa hili Lubuva hongera japo umeletewa vishoka ofisini kwako.
 
Lubuva, mtu wa heshima sana... Lakini kazi aliyopewa ni sawa na kuuza utumbo, itakua vigumu sana kuepuka harufu ya vilivyomo kwenye utumbo... hasa utumbo mpana

Vilevile tusisahau kuwa atapimwa haswa kuanzia tarehe 25 jinsi atakavyohandle pressure from all sides za vyama

Namuombea busara na ujasiri wa kutoyumbishwa na pressure

KWa mnaokumbuka Kivuitu, he was one of respected lawyers in Kenya hadi siku alipoharibu uchaguzi wa Kenya, he ended up dying as one of the most hated person in Kenya
 
Yaani wewe kuweka wazi maana yake Upinzani ; mtaisoma namba safari hii. Mumebaki kwenye mitandao tu ya kijamii actual voters wako hai na ready kuchagua mtu msafi
 
Kwa jinsi ninavyoona Nec wanavyoweka mambo wazi na kufanya kazi kwa uwazi naona kuwa mh.Lubuva ataandika historia mpya ya Tanzania kwa kumtaja na kumtangaza rais kutoka upinzani.

Kitendo cha kusema na kuelekeza kuwa matokeo ya kura ya wagombea wote Rais,Mbunge na diwani ktk vituo vya kupigia kura ni jambo ambalo huwenda likapunguza uchakachuaji maana cku za nyuma masanduku ya kura upande wa Rais zilikuwa zinahesabiwa kwa mkurugenzi na magari yaliyokuwa yakibeba masanduku hayabebi mawakala wa chama chochote.

Kwa hili Lubuva hongera japo umeletewa vishoka ofisini kwao.
Huyu jamaa anamfahamu sana kuwa EL ni mwanamkakati mkali sana
 
Siwezi kutoa pongezi kwa jaji lubuva kwa kuwa ni mapema sana. pongezi nitatoa pale tu chaguo la wengi atakapotangazwa. Mpaka kombe liende monduli kwa EL
 
Jaji amerelax maana hana cha kupoteza, wakishinda CCM poa, pia akishinda Lowassa ni shemeji yake (jokes)
 
Kwa jinsi ninavyoona Nec wanavyoweka mambo wazi na kufanya kazi kwa uwazi naona kuwa mh.Lubuva ataandika historia mpya ya Tanzania kwa kumtaja na kumtangaza rais kutoka upinzani.

Kitendo cha kusema na kuelekeza kuwa matokeo ya kura ya wagombea wote Rais,Mbunge na diwani ktk vituo vya kupigia kura ni jambo ambalo huwenda likapunguza uchakachuaji maana cku za nyuma masanduku ya kura upande wa Rais zilikuwa zinahesabiwa kwa mkurugenzi na magari yaliyokuwa yakibeba masanduku hayabebi mawakala wa chama chochote.

Kwa hili Lubuva hongera japo umeletewa vishoka ofisini kwao.

Hizi fikra ni za ajabu suala la lubuva kuandika historia halisubiri mpaka ashinde mpinzani watu wanapaswa kujiandaa kwa ajili ya matokeo yoyote
 
Yaani wewe kuweka wazi maana yake Upinzani ; mtaisoma namba safari hii. Mumebaki kwenye mitandao tu ya kijamii actual voters wako hai na ready kuchagua mtu msafi

Kama wewe ndo Tanzania nzima sawa.Ila kama wewe ni sehemu ya Tanzania tulio kinyume chako ni wengi mno na kwa uhakika magufuli atapata kura ila hazitatosha.
 
Unajua aina ya karatasi za kura? Niliwahi sikia kwamba kuna mwaka tulipiga kura juu ya kura. Baadaye kura yako inasaudia karatasi kuwa activated na kuonesha kura ya awali

Maybe that's why the judge is relaxed
 
Kwa jinsi ninavyoona Nec wanavyoweka mambo wazi na kufanya kazi kwa uwazi naona kuwa mh.Lubuva ataandika historia mpya ya Tanzania kwa kumtaja na kumtangaza rais kutoka upinzani.

Kitendo cha kusema na kuelekeza kuwa matokeo ya kura ya wagombea wote Rais,Mbunge na diwani ktk vituo vya kupigia kura ni jambo ambalo huwenda likapunguza uchakachuaji maana cku za nyuma masanduku ya kura upande wa Rais zilikuwa zinahesabiwa kwa mkurugenzi na magari yaliyokuwa yakibeba masanduku hayabebi mawakala wa chama chochote.

Kwa hili Lubuva hongera japo umeletewa vishoka ofisini kwao.

Uko sawa mkuu,na hiyo itafanya kazi yake kuwa nyepesi sana!
 
Lubuva ataheshimika hadi na vilembwekizi wa kizazi hiki

Tusianze kumsifu kabla kura hazijapigwa bila hatujajua mwenendo mzima wa uchaguzi. Tusubiri tuone mchakato wote utakavyokwenda ndipo tuanze kumpa sifa kama atatenda haki.
 
Kwa jinsi ninavyoona NEC wanavyoweka mambo wazi na kufanya kazi kwa uwazi naona kuwa mh.Lubuva ataandika historia mpya ya Tanzania kwa kumtaja na kumtangaza rais kutoka upinzani.

Kitendo cha kusema na kuelekeza kuwa matokeo ya kura ya wagombea wote Rais,Mbunge na diwani ktk vituo vya kupigia kura ni jambo ambalo huwenda likapunguza uchakachuaji maana siku za nyuma masanduku ya kura upande wa Rais zilikuwa zinahesabiwa kwa mkurugenzi na magari yaliyokuwa yakibeba masanduku hayabebi mawakala wa chama chochote.

Kwa hili Lubuva hongera japo umeletewa vishoka ofisini kwako.
Nadhani ni kusahau tu kwani miaka mitano mingi matokeo yalikuwa yanabandikwa hivyo hivyo.
 
Ni kwamba Lubuva amebanwa na upinzani kiasi kwamba hana ubavu wa kuleta ubabe wa miaka yote.
 
Lubuva, mtu wa heshima sana... Lakini kazi aliyopewa ni sawa na kuuza utumbo, itakua vigumu sana kuepuka harufu ya vilivyomo kwenye utumbo... hasa utumbo mpana

Vilevile tusisahau kuwa atapimwa haswa kuanzia tarehe 25 jinsi atakavyohandle pressure from all sides za vyama

Namuombea busara na ujasiri wa kutoyumbishwa na pressure

KWa mnaokumbuka Kivuitu, he was one of respected lawyers in Kenya hadi siku alipoharibu uchaguzi wa Kenya, he ended up dying as one of the most hated person in Kenya

Tumwombee bw. Lubuva. Kazi anayofanya si rahisi. Mungu tu anajua hatima ya NCHI hii.
 
Back
Top Bottom