Jaji Kwenye Kesi Ya El Chapo Ameuwawa!

Jaji Kwenye Kesi Ya El Chapo Ameuwawa!

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,105
Judge in El Chapo Case Assassinated While Jogging!
The Mexican judge handling the high profile case of drug lord Joaquin ''El Chapo'' Guzman was shot at point blank range and killed while jogging near his home.

Source: ABC News
 
"Anybodly who tries to interfere mafia gang or mafia family must be destructed first"
 
Wachukue polisi wetu wawafunde namna ya kumalizana na majambazi sugu bila ya kupitia mahakama.

Jamaa wana porojo eti tuliwapeleka msituni watuonyeshe wenzao walipo, mara wakaibuka katika mashambulizi makali wale majambazi wenzao wakawaua na kujeruhi polisi kadhaa, case closed hakuna mahakama wala nini.
 
Hah hah ukiambiwa udhibitishe maneno yako bila kutumia mfano WA kesi ya Zombe utaweza??
 
Hah hah ukiambiwa udhibitishe maneno yako bila kutumia mfano WA kesi ya Zombe utaweza??
Si majuzi tena waliopora CRDB wakauwa polisi wenzao. Waliokamatwa wakati wanaenda porini kuonyesha polisi chimbo lao wakavamiwa.

Anyway kulikuwa na thread jukwaa la habari (hiyo ndio source yangu).
 
Back
Top Bottom