GHIBUU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 4,432 Reaction score 3,016 Dec 21, 2015 Thread starter #41 Faridi said: Jaji Bomani hawezi kupendekeza liundwe jopo hapohapo akisema uchaguzi urudiwe, angeacha jopo liamue. Click to expand... Jopo gani mkuu Wakati waangalizi wa kimataifa walikuwepo zanzibar na wamethibitisha kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki, na wanataka matokeo yakamishwe.
Faridi said: Jaji Bomani hawezi kupendekeza liundwe jopo hapohapo akisema uchaguzi urudiwe, angeacha jopo liamue. Click to expand... Jopo gani mkuu Wakati waangalizi wa kimataifa walikuwepo zanzibar na wamethibitisha kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki, na wanataka matokeo yakamishwe.