Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

Na wanataka alete ushoga tanzania. Wameshaweza nchi za SA. Na mozambique huko ushoga umeshalalalishwa kennya nao watahalalisha obama akiondoka ..
Ushoga wanavuleta kama missionary walivyoleta dini. Walipata vipingamizi ila mwishowe mababu zetu wakakaa wenyewe

inawezekana kabisa mkuu,watu lazima tujihadhari sana,huyu kanone na wenzie hawajaliona hilo
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini unathubutu kuandika upuuzi? Kama hujui kitu, kukaa kimya ni hekima kubwa.

Askofu Mkuu wa Uingereza hana mamlaka ya kuiteulia nchi nyingine Askofu, siuze Mchungaji! Askofu mkuu wa Uingereza wala hachaguliwi na Maaskofu wa Anglikana duniani ktk kusanyiko lao.

Utendaji wa Askofu ktk Anglikana ni tofauti sana na Katoliki ambapo Mamlaka ya Papa hufika hadi nchi na jimbo la nchi nyingine ndani ya Kanisa hilo.

Vv
Watu wasipotoshe wengine. Naona hajui kuhusu kanisa Anglican. Anglican wana mfumo unaojitegemea ila wanashea vitabu vya mafundisho na lituljia. Wana vyuo vyao, taasisi zao na wana utaratibu wao wa kupata viongozi.
 
Kiukweli, Mheshimiwa huyu, hana doa, wala mawaa,
Amefurika hikma, na busara sana ( kulingana na kauli zilizotolewa na watu walofanya kazi naye)

labda pengine tu ule UPOLE wake, ndo issue.
Maana nchi hii inahitaji kwa nguvu zote, apatikane DIKTETA

attachment.php



Ya Jaji Ramadhani na Fomu za Uspika na Naibu Uspika wa DR.Tulia!
Je toka lini huyu aliyekuwa Naibu Mwanasheria wa Serikali hadi siku tatu zilizopita alikuwa Mwanachama Mwaminifu wa CCM ?
 
Back
Top Bottom